Mhe, Balozi Bahati aimarisha Udugu

Tarehe 08 Januari 2020, Meja Jenerali Anselm Shigongo Bahati, Balozi wa Tanzania nchini Misri alikutana na Balozi wa Burundi nchini Misri kwa lengo la kumsalimia na kuimarisha udugu na ushirikiano uliopo kati ya…

Read More

Ushirikiano baina ya Tanzania na Misri wazidi kuimarika

Tarehe 06 Januari, 2020, Mhe. Meja Jenerali Anselm Bahati, Balozi wa Tanzania nchini Misri alikutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Elsayed Waziri wa Kilimo na masuala ya Ardhi wa Misri kwa nia ya kumsalimia na kuimarisha…

Read More

Balozi wa Tanzania nchini Misri ashawishi uwekezaji nchini Tanzania

Balozi Meja Jenerali Anselm Shigongo Bahati akipata maelezo ya kiutendaji ya kiwanda cha Kampuni ya gesi ya Supreme ya Misri tarehe 02 Januari, 2020. Balozi Meja Jenerali Bahati ametembelea kiwanda hicho na kujionea…

Read More

Mhe. Balozi Bahati Asisitiza Mshikamano kwa Watanzania

Mhe. Balozi Meja Jeneral Anselm Bahati, Balozi wa Tanzania nchini Misri akizungumza na viongozi wa Jumuiya za Watanzania waishio nchini Misri na Jumuiya ya wanafunzi wa Tanzania wanaosoma nchini Misri tarehe 27…

Read More

Balozi wa Tanzania nchini Misri Awasilisha Hati za Utambulisho

Mhe. Meja Jenerali Anselm Shigongo Bahati Balozi wa Tanzania nchini Misri awasilisha nakala za Hati za Utambulisho kwa Mhe. Hamdi Loza, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri anayeshughulikia masuala ya Afrika tarehe…

Read More

Scout-Tanzania wafanya ziara katika Ubalozi wa Tanzania nchini Misri

Mhe, Meja Jenerali Anselm S. Bahati, Balozi wa Tanzania nchini Misri atembelewa na vijana wa Scout-Tanzania wakiongozwa na Bw. Faustin Magige Kamishna Msaidizi wa Scout-Tanzania, tarehe 20 Desemba, 2019. Mhe. Balozi…

Read More

Balozi akutana na wawekezaji

Mhe. Meja Jenerali Anselm Shigongo Bahati, Balozi wa Tanzania nchini Misri, tarehe 19 Desemba, 2019 alifanya mazungumzo na Dkt. Muharram Helal, Mwenyekiti wa Kampuni ya 'Supreme Holding' ya Misri inayojishughulisha…

Read More

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Bashungwa atembelea kiwanda cha Ghabbour Auto

Mhe. Innocent Bashungwa (MB), Waziri wa Viwanda na Biashara wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipata maelezo kuhusu uzalishaji wakati alipotembelea kiwanda cha Magari cha Ghabbour Auto cha jijini Cairo, nchini…

Read More