PONGEZI KWA RAIS MTEULE MHE. JOHN POMBE MAGUFULI

Ubalozi wa Tanzania nchini Misri unampongeza kwa dhati Mhe. John Pombe Magufuli kwa kuchaguliwa kwa muhula wa pili kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ubalozi pamoja na Diaspora wa Kitanzania waliopo Misri,…

Read More

Balozi wa Tanzania nchini Misri ahamasisha uwekezaji

Tarehe 22 Julai, 2020 Mhe. Meja Jenerali (Mst) Anselm Shigongo Bahati, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri alifanya mazungumzo na uongozi wa Kampuni ya Giza Power kwa lengo la kuimarisha ushirikiano…

Read More

Balozi wa Tanzania nchini Misri awasilisha Hati za Utambulisho

Tarehe 01 Julai, 2020 Mhe. Balozi Anselm Shigongo Bahati,  Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri aliwasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Mhe. Abdel Fattah Al Sisi, Rais wa Jamhuri ya Kiarabu…

Read More

TANGAZO

EMBASSY OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA -CAIRO 10, Anas Ibn Malik Street – Mohandessin - Cairo A.R.E Telephone : (+202) 33374155    -      Fax :  33374286 E-mail:…

Read More

Mhe. Balozi wa Tanzania nchini Misri aimarisha Ushirikiano

Tarehe 28 Januari, 2020, Mhe. Meja Jenerali Anselm Shigongo Bahati, Balozi wa Tanzania nchini Misri alikutana na kufanya mazungumzo na Kamati ya Baraza la Wawakilishi la Misri linaloshughulikia masuala ya Afrika…

Read More

Balozi Nchini Misri akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa EBA

Tarehe 22 Januari, 2020, Balozi Anselm Shigongo Bahati, Balozi wa Tanzania nchini Misri alikutana na kufanya mazungumzo na Bw. Mohamed Youssef, Mkurugenzi Mtendaji wa Jumuiya ya Wafanyabiashara ya Misri  (Egyptian…

Read More

Mhe. Balozi wa Misri akutana na Uongozi wa E-JUST

Tarehe 16 Januari, 2020, Balozi Anselm Shigongo Bahati alifanya mazungumzo na uongozi wa Chuo Kikuu cha E-JUST kilichopo jijini Alexandira nchini Misri kwa nia ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Misri.…

Read More

Mhe, Balozi Bahati azidi kuwahamasisha Wawekezaji kuekeza nchini Tanzania

Tarehe 09 Januari 2020, Meja Jenerali Anselm Shigongo Bahati, Balozi wa Tanzania nchini Misri alitembelea Mji wa Viwanda vya Ngozi wa Robbiki  (Robbiki Leather City) nchini Misri na kukutana na uongozi wa Mamlaka…

Read More