Waziri wa Nishati wa Tanzania atembelea kiwanda cha Petrochemical
Mhe. Medard M. Kalemani (MB) Waziri wa Nishati wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipata maelezo wakati alipotembelea kiwanda cha Petrochemical kilichopo mkoani Ain Sokna nchini Misri tarehe 08 Oktoba, 2019.
Read More