Bilateral Relation Change View → Listing

Mhe. Balozi wa Misri akutana na Uongozi wa E-JUST

Tarehe 16 Januari, 2020, Balozi Anselm Shigongo Bahati alifanya mazungumzo na uongozi wa Chuo Kikuu cha E-JUST kilichopo jijini Alexandira nchini Misri kwa nia ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Misri.…

Read More

Mhe, Balozi Bahati azidi kuwahamasisha Wawekezaji kuekeza nchini Tanzania

Tarehe 09 Januari 2020, Meja Jenerali Anselm Shigongo Bahati, Balozi wa Tanzania nchini Misri alitembelea Mji wa Viwanda vya Ngozi wa Robbiki  (Robbiki Leather City) nchini Misri na kukutana na uongozi wa Mamlaka…

Read More

Mhe, Balozi Bahati aimarisha Udugu

Tarehe 08 Januari 2020, Meja Jenerali Anselm Shigongo Bahati, Balozi wa Tanzania nchini Misri alikutana na Balozi wa Burundi nchini Misri kwa lengo la kumsalimia na kuimarisha udugu na ushirikiano uliopo kati ya…

Read More

Ushirikiano baina ya Tanzania na Misri wazidi kuimarika

Tarehe 06 Januari, 2020, Mhe. Meja Jenerali Anselm Bahati, Balozi wa Tanzania nchini Misri alikutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Elsayed Waziri wa Kilimo na masuala ya Ardhi wa Misri kwa nia ya kumsalimia na kuimarisha…

Read More

Balozi wa Tanzania nchini Misri Awasilisha Hati za Utambulisho

Mhe. Meja Jenerali Anselm Shigongo Bahati Balozi wa Tanzania nchini Misri awasilisha nakala za Hati za Utambulisho kwa Mhe. Hamdi Loza, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri anayeshughulikia masuala ya Afrika tarehe…

Read More

Balozi akutana na wawekezaji

Mhe. Meja Jenerali Anselm Shigongo Bahati, Balozi wa Tanzania nchini Misri, tarehe 19 Desemba, 2019 alifanya mazungumzo na Dkt. Muharram Helal, Mwenyekiti wa Kampuni ya 'Supreme Holding' ya Misri inayojishughulisha…

Read More

Tanzania na Misri kuzidisha Uhusiano na Ushirikiano

Mhe. Atashante Nditiye (MB), Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na  Mawasiliano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kufanya mazungumzo na Dkt. Amr S. Talaat, Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari…

Read More

Waziri wa Nishati wa Tanzania atembelea kiwanda cha El Sewedy

Mhe. Medard M. Kalemani (MB) Waziri wa Nishati wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipewa maelezo kuhusu uzalishaji alipotembelea kiwanda cha "El Sewedy Electric na El Sewedy Transformer." Kilichopo jijini Cairo…

Read More