News and Events Change View → Listing

TANZIA

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri unasikitika kutangaza kifo cha Baba Mzazi wa Mhe. Balozi Meja Jenerali (Mst) Anselm Shigongo Bahati kilichotokea leo tarehe 14 Disemba, 2020 majira ya saa…

Read More

Mhe. Balozi apokea Rasimu ya Mkataba

Mhe. Meja Jenerali (Mst) Anselm Shigongo Bahati, Balozi wa Tanzania Nchini Misri akipokea rasimu ya Mkataba wa ununuzi wa mahindi ya njano kutoka kwa Mwenyekiti wa kampuni ya Smart Group, Mr. Yasser Attia anaetaka…

Read More

Wawekezaji watafuta fursa nchini Tanzania

Mhe. Balozi wa Tanzania nchini Misri, Meja Jenerali (Mst) Anselm Shigongo Bahati, akifanya mazungumzo na Wamiliki wa Kampuni ya ‘Metal Forming Technology’ wanaokusudia kufanya biashara ya bidhaa za Aluminum…

Read More

PONGEZI KWA RAIS MTEULE MHE. JOHN POMBE MAGUFULI

Ubalozi wa Tanzania nchini Misri unampongeza kwa dhati Mhe. John Pombe Magufuli kwa kuchaguliwa kwa muhula wa pili kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ubalozi pamoja na Diaspora wa Kitanzania waliopo Misri,…

Read More

Balozi wa Tanzania nchini Misri ahamasisha uwekezaji

Tarehe 22 Julai, 2020 Mhe. Meja Jenerali (Mst) Anselm Shigongo Bahati, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri alifanya mazungumzo na uongozi wa Kampuni ya Giza Power kwa lengo la kuimarisha ushirikiano…

Read More

Balozi wa Tanzania nchini Misri awasilisha Hati za Utambulisho

Tarehe 01 Julai, 2020 Mhe. Balozi Anselm Shigongo Bahati,  Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri aliwasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Mhe. Abdel Fattah Al Sisi, Rais wa Jamhuri ya Kiarabu…

Read More

TANGAZO

EMBASSY OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA -CAIRO 10, Anas Ibn Malik Street – Mohandessin - Cairo A.R.E Telephone : (+202) 33374155    -      Fax :  33374286 E-mail:…

Read More

Mhe. Balozi wa Tanzania nchini Misri aimarisha Ushirikiano

Tarehe 28 Januari, 2020, Mhe. Meja Jenerali Anselm Shigongo Bahati, Balozi wa Tanzania nchini Misri alikutana na kufanya mazungumzo na Kamati ya Baraza la Wawakilishi la Misri linaloshughulikia masuala ya Afrika…

Read More